5 comments on “Toa maoni katika Tume ya kuchunguza matokeo ya kidato cha nne

  1. MARA BAADA YA UHURU ELIMU YA MSINGI ILIYOTOLEWA KWA WATANZANIA WOTE ILIJITOSHELEZA IKIMWENZESHA KUJITEGEMEA AMALIZAPO IKIWA YA VITENDO ZAIDI WALIOHITIMU WAKIWA NA MAADILI YALIYOKUBALIKA KWA WATANZANIA WOTE CHINI YA SERA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA BAADHI YA MABADILIKO YA MITAALA YA ELIMU NIKUFUTA DARASA LA NANE 1965 -1967, ILI KUPUNGUZA GHARAMA, 1968 KUKIFANYA KISWAHILI KITUMIKE KUFUNDISHIA SHULE ZA MSINGI LENGO WANAFUNZI WAELEWE YALE WAFUNDISHWAYO ILA SEKONDARI HAPAKUWA NA MKAKATI HUO ,MWAKA 1972 MABADILIKO YA MITAALA ILIBADILISHWA ILI SHULE ZA MICHEPUO MFANO KILIMO,UFUNNDI ,BIASHARA, SAYANSI IKITOA STADI NA MWELEKEO NA VITENDO HIVYO ALIYEHITIMU SEKONDARI ALIWEZA KUJIAJIRI ,MICHEPUO YA JESHI TABORA ILIKUWA KARAKANA YA KUPATA VIONGOZI WENYE UZALENDO KWA NCHI YAO ,MWAKA1975 SERIKALI ILIANZISHA UPE ILI KUPANUA PROGRAM ZA ELIMU NA KILA MKOA KUTOA WANAFUNZI WA KUINGIA SEKONDARI WAKITUMIA KIGEZO CHA KOTA ILI KUIIPA FURSA MIKOA ILIYOKUWA NA MAENDELEO HAFIFU KIELIMU, MABADILIKO MENGINE YA KUPUNGUZA GHARAMA BILA KUKUMMBUKA TUNAHARIBU UBORA WA ELIMU NI KUFUTA MITIHANI YA DARASA LA NNE SHULE ZA MSINGI NA KIDATO CHA PILI SHULE ZA SEKONDARI WAKIDI LENGO NI KUONGEZA WATAALAMU,SI HIVYO TU MWAKA 1975 TANZANIA ILIFUTA MITIHANI YA NNJE ILI KUOKOA FEDHA ZA KIGENI NA KUANZISHA MITIHANI YAKE,KUFUTWA KWA KARO SHULE ZA SEKONDARI KULIONGEZA WANAFUNZI WALIOJIUNGA NA SEKONDARI,KATIKA MFUMO MPYA WA KUCHANGIA ELIMU SERIKALI ZA MITAA ZILICHANGIA ELIMU ASILIMIA 40% WAKATI SERIKALI KUU IKICHANGIA ASILIMIA 60% USIMAMIZI MBOVU WA RASILIMALIFEDHA BADALA YA KUBORESHA ELIMU UBADHIRIFU NA WIZI ULIFANYIKA MAJENGO YASIYO NA VIWANGO ,VITI NA MADAWATI YASIYO NA KIWANGO YALINUNULIWA VIFAA VYA KUFUNDISHA NA KUJIFUNZIA VISIVYOKIDHI VILINUNULIWA UZALENDO ULITOWEKA SHULE ZA MICHEPUO ZILIFUTWA ELIMU IKWA YA NADHARIA ZAIDI LENGO LIKIWA KUAJIRIWA WALA SIO KUJIAJIRI WALIOFANYA MABADILIKO HAYA NI WASOMI WA TANZANIA KUJIPENDEKEZA KUWA LEO WANATETEA WATANZANIA NI UONGO MTUPU TATIZO LA ELIMU LIKO KUANZIA CHEKECHEA HADI CHUO KIKUU HIVYO WOTE NI WABOVU NA WANAZALISHWA NI WABOVU HAIKUWA SAWA KUJICHUNGUZA WENYEWE HII TUME NINGEPENDEKEZA IUNDWE TUME AMBAYO WATANZANIA HAWATAHUSISHWA KWANI WAO NDIO TATIZO MBONA FBI WALIKUJA KUCHUNGUZA MAUAJI YALIYOTOKEA ZANZIBAR UNATAKA KUSEMA WACHUNGUZI WA TANZANIA HAWAPO SI RAHISI KUJIHOJI WENYEWE ,KUJAZA MADODOSO,KUJICHUNGUZA WENYEWE NDIO SABABU INAONEKANA WENGI HAWANA IMANI NA TUME HIYO ILIYOANZISHWA KISHINIKIZO KAMA ZIMA MOTO TU TUSIPENDE MAFANIKIO MAZURI KWA KUTUMIA GHARAMA NDOGO KUNA MWIMBAJI ALIYEIMBA KAMA UNAONA ELIMU NI GHALI JARIBU UJINGA NA MWISHO HAKUNA TAIFA LOLOTE DUNIANI LILILOFANIKIWA KIELIMU ,KIUCHUMI NA KIJAMII LIKITUMIA LUGHA YA MWENZAKE IKUMBUKWE KILA UCHAO UGHA HUKUA IKIONGEZA MISAMIATI MIPYA KUTOKANA NA KUKUA KWA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

  2. kwa kitendo cha serikal kupandisha grade bila kutoa taharifa kwa wanafunz ndio lmesababisha kudondoka kwa wanafunzi we unathan huko si kumfelsha student ambaye anategea elimu kama nguzo yake ya maisha na husahihishaji wa kiupendeleo kwa kutazama special school so, naomba muhawangalie wale wanafunz ambao wana 4 nzur wapate vyuo vya ufundi.

  3. Does your website have a contact page? I’m having a tough time locating it but, I’d like to send you an e-mail.
    I’ve got some creative ideas for your blog you might be interested in hearing. Either way, great website and I look forward to seeing it grow over time.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s