Archives
All posts for the month December, 2013
Kuelekea kupata katiba mpya Tume ya marekebisho ya katiba imekabidhi rasimu ya pili ya katiba Kwa mheshimiwa rais Dr jakaya mrisho kikwete na rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar dr mohamed she in ,kuipata na kuidadavua Kwa undani jipakulie nakala yakohapa,upate kuipitia kifungu Kwa kifungu.